Igunga, Tabora +255 765 065 063 info@mukendistationery.com
MIFUMO YETU

Teknolojia ya Kisasa kwa Biashara

Tunatengeneza mifumo, app, na website kwa wafanyabiashara wa Tanzania โ€” rahisi kutumia, kwa bei nzuri, kwa Kiswahili.

MAUZO LEO
TZS 22,800
Mauzo
Bidhaa
Stoki
Wateja
Ripoti
Madeni

MAUZO STATIONERY App

Mfumo Kamili wa POS kwa Wafanyabiashara

Mfumo wa Point of Sale (POS) ulioundwa mahsusi kwa maduka ya vifaa vya shule na ofisi nchini Tanzania.

Mauzo ya haraka & rahisi
Usimamizi kamili wa stoki
Wateja & madeni
Ripoti za biashara
Malipo kwa M-Pesa
Inafanya hata bila mtandao
BURE KABISA
๐ŸŽ‰ Hakuna malipo โ€ข Hakuna kadi ya benki โ€” anza sasa!
HUDUMA NYINGINE

Tunatengeneza Pia...

Mbali na MAUZO STATIONERY, tunaweza kukutengenezea mifumo maalum.

Custom POS Systems

POS system kwa biashara nyingine โ€” duka la nguo, mgahawa, salon, n.k.

  • โœ“ Iliyoundwa kwa mahitaji yako
  • โœ“ Kiswahili + Kiingereza
  • โœ“ Backup automatic
  • โœ“ Msaada wa kiufundi
Uliza Bei

Custom Android Apps

Tunatengeneza app za Android kwa biashara yako.

  • โœ“ Native Android (Flutter)
  • โœ“ Hupakiwa Google Play
  • โœ“ Offline mode
  • โœ“ Updates za bure mwaka 1
Uliza Bei

Website Development

Website nzuri ya biashara yako โ€” kama hii unayoiona sasa.

  • โœ“ Modern design
  • โœ“ Mobile responsive
  • โœ“ SEO optimized
  • โœ“ Hosting included (mwaka 1)
Uliza Bei

Tayari Kuanza Mwendo wa Kisasa?

Pakua MAUZO STATIONERY leo โ€” ni BURE KABISA, hakuna malipo!